Muswada utakaopiga marufuku tohara kwa wanaume umewasilishwa mbele ya Bunge la Iceland, huku ukipendekeza adhabu ya kufungwa jela miaka 6 kwa yeyote atakaekiuka marufuku hiyo.
Muswada huo utatoa ruhusa ya mtu kufanyiwa tohara ikiwa tu ni kwa sababu za kimatibabu.
