MAGARI HAYA YANAHITAJI 'SERVICE'

Baadhi ya magari ya halmashauri ya wilaya ya Makete ambayo yamekaa muda mrefu yakisubiri kwenda kwenye matengenezo. Mtandao huu unadhani kukaa muda mrefu kwa magari hayo bila kufanyiwa matengenezo, huenda kukapelekea magari hayo kuharibika zaidi!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo