Picha: Mwili wa Kada wa Chadema aliyeuawa Kinyama Waagwa

Mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chadema kata ya Hananasif, Daniel John ukipelekwa Kanisani (Kanisa Katoliki Hananasif kwa Pinda), tayari kwa kuombewa kabla ya kusafirishwa kwenda Iringa kwa mazishi.
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Habari CHADEMA @makene_tumaini akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, aliyeagwa leo na kusafirishwa kuelekea Iringa kwa ajili ya maziko, ibada imefanyika Parokia ya Mt. Anna,Hananasif, Jumanne 20/02/18Katibu wa BAVICHA Taifa, Mhe Julius Mwita, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, aliyeagwa leo na kusafirishwa kuelekea Iringa kwa ajili ya maziko, ibada imefanyika Parokia ya Mt. Anna, Hananasif,leo Jumanne 20/02/2018.Meya wa Ubungo, Mhe @MayorUbungo, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, aliyeagwa leo na kusafirishwa kuelekea Iringa kwa ajili ya maziko, ibada imefanyika Parokia ya Mt. Anna, Hananasif,leo Jumanne 20/02/2018.Makamu M/kiti wa CHADEMA Bara, Prof. Abdallah Safari,akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, aliyeagwa leo na kusafirishwa kuelekea Iringa kwa ajili ya maziko, ibada imefanyika Parokia ya Mt. Anna, Hananasif,leo Jumanne 20/02/2018.Mwili wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, Daniel John, ukiwasili Parokia ya Mt. Anna Hananasif, kwa ajili ya ibada,kuuaga na kutoa heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kuelekea Iringa kwa maziko leo Jumanne 20/02/2018.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo