Kuna uwezakano mkubwa nafikiri ndivyo itakavyo kuwa Mbinguni kuwakuta malaya,walevi,wazinzi wengi kuliko Viongozi wa dini,matukio ya uhalifu wa kibinadamu ni mengi sana Nchini lakini viongozi wa dini wamekaa kimya kama vile Nchi ni salama,uzalendo wao umebaki kukemea viroba.— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) February 20, 2018
Lema: Mbinguni kuwakuta malaya,walevi,wazinzi wengi kuliko Viongozi wa dini
By
Edmo Online
at
Tuesday, February 20, 2018
