skip to main |
skip to sidebar
Bajeti ya Mazishi ya Mwanafunzi Akwilina
Familia ya marehemu Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa risasi, imesema gharama za mazishi zitakuwa Tshs million 80
> Imesema, kulingana na desturi ya Kaskazini marehemu lazima akazikwe sehemu alipozaliwa ambapo ni kijiji cha Olele, Rombo-Kilimanjaro
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi