Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.
Hali ya Mzee Kingunge inaendelea kuimarika
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube