Breaking news: Matokeo ya Kidato cha Nne 2023 yametangazwa, Bofya hapa kuyaona

 

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 25,2024 limetangaza matokeo ya kidato Cha nne uliofanyika mwaka 2023 ambapo ufaulu umeongezeka.

Akizungmza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam Katibu mtendaji Baraza la Mitihani Tanzania Dkt Said Mohamed amesema ufaulu umeongezeka hadi kufikia asilimia 89 ukilinganisha na mwaka 2023 .

Unaweza kuangalia matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2023 ambayo yametangazwa leo

BOFYA <<<HAPA>>>> KUANGALIA MATOKEO HAYO 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo