Mbunge wa Mtama Nape Nnauye, kupitia ukurasa wake wa Twitter amekumbushia enzi zile alivyokuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, kwa kupita maeneo mbalimbali kukijenga chama hicho
Angalia alichokiandika hapa
Haya ndio yalikuwa maisha kwa miezi karibu 38! Big up Cde Kinana pic.twitter.com/O3aJKdjB7j— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) April 16, 2017
