Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa
wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya tukio la Kiapo Ikulu jijini Dar es
Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
wa kwanza (kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na
Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo wa kwanza (kushoto).
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho
Gambo mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho
Gambo mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.