Picha nne za Lowassa akiwa hospitalini Kahama Shinyanga

Waziri mkuu mstaafu Mh.Edward Lowassa amewatembelea na kuwapa pole wahanga wanne waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya kunusurika kufa katika machimbo ya Nyangalata wilayani humo.

Mh. Lowassa amefika hospitalini hapo akitokea jijini Mwanza na kupokelewa na uongozi wa hospitali hiyo ambao walimuongoza hadi kwenye vitanda walipokuwa wamelazwa wahanga hao wa machimbo ya Nyangalata.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo