Mbunge amuandikia barua Spika Job Ndugai ya kukataa posho zake zote

Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi amemuandikia rasmi Katibu wa Bunge barua ya kuomba kusitishwa kwa malipo ya posho za vikao kwake na fedha hizo ziende kwenye akaunti maalum ya kusaidia matatizo ya jimboni mwake.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo