Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Hafsa Mtasiwa ameagiza kukamatwa kwa mratibu wa maabara halmasharuri ya mji anayedaiwa kujaribu kuiba vifaa vya kupimia malaria, MRDT.
Mratibu huyo, Emanuel Masondole, anatuhumiwa kuchukua boksi la vifaa hivyo kutoka halmashauri ya wilaya ya Korogwe vijijini akidai Halmashauri ya Korogwe mji anakofanya kazi kuna upungufu wa vifaa hivyohttp://www.mwananchi.co.tz/…/…/2973540/-/d6vld1/-/index.html