
Kijana aliyegongwa na bodaboda na kuvunjika mguu wa kulia akiwa amelala chini katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Bodaboda iliyotelekezwa na dereva wake baada ya kumgonga kijana huyo ikiwa eneo la tukio.
AJALI hii imetokea leo majira ya saa 9:45 mchana katika Manispaa ya
Musoma mkoani Mara baada ya bodaboda kumgonga kijana mmoja ambaye
hakujatambulika jina lake mara moja na dereva wa bodaboda kukimbia na
kuacha chombo chake .
Picha na GPL
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi