Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha kukerwa na mlango mbovu uliowekwa kwenye chumba cha upasuaji wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022.
Aliagiza milango mibovu iondolewe na iwekwe milango yenye ubora unaokubalika. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Christopher Wabwarumi.