Kituo cha Afya Nzihi Kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini Tarafa ya Kalenga.
Waandishi
wa Habari wa kwanzajamii/mjengwablog Edraw Sagini ameketi katika kiti
na mwandishi mwenzake Josephin Mkude akiwa amesimama pembezoni mwa ukuta
wakisubiri dawa walizo agiza baada ya kuambiwa dawa Zahanati hapo
hakuna na kuamua kuagiza kwa kutoa Fedha zao mfukoni ili kuweza kupata
huduma ya Kwanaza katika Zahanati ya Nzihi iliyopo Karafa ya kalenga
baada ya kujisikia vibaya wakiwa kikazi Kijijini hapo.
Mwandishi
wa Habari wa Kwanzajamii/mjengwablog Edraw Sagini akipaiwa huduma ya
kwanza na Muhudumu wa Zahanati hiyo Agatha Geka baada ya kujisikia
vibaya kwa kubanwa na kifua akiwa kikazi katika kijiji cha Nzihi Tarafa
ya Kalenga.(Picha na Martha Magessa)