Mahakama ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imewafutia wafuasi watatu wa Chadema mashtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.
Waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka hayo ni Gregory Juma (29) mkazi wa Mkuyuni mkoani Mwanza, Ibrahimu Issa (20) mkazi wa mtaa wa Saranga wilayani humo na Lucas Andrea (30) mkazi wa Area “A” mkoani Dodoma http://www.mwananchi.co.tz/…/1597296/2973566/-/150xq2r/-/in…