Mwanahabari Gordon Kalulunga akichangia mada
Mwanahabari Michael Katona akiwasilisha kazi waliyopewa kwa niaba ya kundi lake
Mafunzo kwa vitendo yakiendelea
Waandishi wa habari wa kanda ya nyanda za juu Kusini wamepatiwa mafunzo ya nanma ya kuandika na kutangaza habari za uchaguzi ili waweze kutumia taaluma yao iifikie jamii
Semina hiyo inaendeshwa kwa pamoja na shirika la utangazaji la Uingereza BBC na baraza la habari Tanzania MTC