MAPOKEZI YA MISS WORLD AFRIKA KUSINI NI BALAA, JIONEE PICHA HIZI

B5R58iMCcAAIMVB
Miss World 2014, Rolene Strauss, leo amerejea kwao Johannesburg nchini Afrika Kusini baada ya Jumapili iliyopita kushinda taji hilo jijini London, Uingereza. B5SlmbIIMAAI-N1 Mrembo huyo amepokelewa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa O.R. Tambo jijini humo na maelfu ya mashabiki waliotaka kumuona. Chini ni baadhi ya picha za mapokezi yake.
B5SAHGaCMAEz-qN
B5ScvDECAAADp25 B5SFu6xCQAETGHi

B5SJbLNCUAA7M_3 B5SL4e2IUAA9oIN
B5SLv_KIgAE03l6
B5SNM9DIcAEIVIo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo