Unakumbuka vita kati ya nyati na simba iliyotokea Kruger National Park, South Africa iliyotazamwa na watu zaidi ya milioni 75 inayoitwa Battle at Kruger?
Imetokea tena. Kundi la nyati lavamia simba kumuokoa mwenzao aliyekuwa
anashambuliwa na kundi la simba katika eneo lile lile la Kruger National
Park.
RoadToTMIC2026 | USISIKIE KUHUSU FURSA. ZIFIKIE
2 hours ago
