Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars aitwaye Linex Mjeda.
Amekua wazi kutaja chama ambacho anategemea kugombania nafasi yake ya ubunge aliyosema kuwa tayari ana jimbo anasubiri muda tu na chama alichosema anategemea kugombea ni chama kipya cha ACT.
Soudy
Brown amemuuliza maswali mengi ikiwemo kama kweli ana kadi ya chama
na ni nani mwenyekiti wa chama hicho,sikiliza alichojibu hapa.
Bonyeza play kusikiliza.