Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika
ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba katika blog mbalimbali (si eddy Blog) kwa sasa ni mjamzito… Kupitia page
yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi kuwa
pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im
nat wapenzi wangu’
MITANDAO YA KIJAMII INAYOANDIKA HABARI ZA UPANDE MMOJA YAMKERA WEMA SEPETU, ADIRIKI KUANDIKA HIVI........!!!!!
By
Edmo Online
at
Monday, June 16, 2014

