Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya saa toka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga huku Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange wakishuhudia. Saa hiyo imeandaliwa
na makamanda wa JKT kumpongeza Rais Kikwete kwa kurejesha mafunzo ya
jeshi la ulinzi kwa mujibu wa sheria kuanzia mwaka huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na kada mbalimbali za Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) alipotembelea leo February 27, 2013PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea leo February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia wapo.