Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na msanii wa kizazi kipya Nasib Abdul “Diamond”ikulu
ndogo mjini Dodoma wakati chakula cha usiku alichowaandalia wasanii
walioshiriki katika tamasha la Uzalendo na Uzinduzi wa Video ya wimbo
maalum wa miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika
katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma jumamosi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini mwanamuziki wa kizazi
kipya Ommy Dimpoz wakati chakula cha usiku alichowaandalia wasanii
walioshiriki katika tamasha la Uzalendo na Uzinduzi wa Video ya wimbo
maalum wa miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika
katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma jumamosi iliyopita
kulia ni Mh. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa jimbo la Chalinze(picha na
Freddy Maro).