LIVE KUTOKA MKOANI NJOMBE: SERIKALI YAOMBWA KUPUNGUZA WALEVI

Taasisi ya IDYDC imeitaka serikali kuweka sera au sheria kali itakayowabana walevi.

Akizungumza muda huu katika ukumbi wa kanisa katoliki mjini Njombe, Mkurugenzi wa taasisi hiyo Njombe, Johnnie Nkoma amesema Tanzania iko katika hatari ya kuwa taifa la walevi.

Amedai kuwa hivi sasa Tanzania ina idadi kubwa ya walevi ambao wanafikia asilimia 92 ya Watanzania wote wafikao milioni 45.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo