Katibu
wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akiwahutubia wananchi wa
kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014,wakati wa muendelezo
wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (hayupo pichani).
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete akinadi sera zake kwa wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya
Lugoba leo Machi 25,2014,ikiwa ni muendelezo wa Kampeni zake.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye wakishiriki
kucheza muziki pamoja na wananchi wa Kijiji cha Kinzagu,Kata ya Lugoba
leo Machi 25,2014.
Katibu
wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akishiriki kuruka juu pamoja
na Wamasai ambao ni wakazi wa Kijiji cha Kinzugi,Kata la Lugoba ndani
ya Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani.