Habari
toka Mkoani Singida zinasema watu 13 waliofariki dunia baada ya
kutokea ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna
mkoani humo kumbe mmoja wa watu waliofariki alikuwa ni mume wa mtu ambae
alikuwa anakwenda kula bata na nyumba ndogo.
SIRI IMEFICHUKA...AFA AJALINI SINGIDA AKIWA NA KIMADA, MKEWE ALIMUAGA ANAENDA SALIMIA NDUGU
By
Edmo Online
at
Wednesday, January 22, 2014
