Pichani
kati ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mh Jenista Mhagama
akiwasili kwenye eneo lake la kazi huku akilakiwa na Wafanyakazi
mbalimbali wa Wizara hiyo mara baada ya kuapishwa jana viwanja vya Ikulu
jijini Dar
Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mh Jenista Mhagama akikaribishwa
Ofisini kwake na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sifuni Mchome.