Rais Jakaya Kikwete Amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe Keptein Mstaafu
Aseri Msangi Pamoja na Watendaji Wake Kufuatili Shilingi Bilioni Kumi
Zilizotolewa na Serikali Kwa Ajili ya Kuwalipa Wakulima wa Mahindi
Wilayani Ludewa Ambao Wanaidai Serikali.
Aidha Rais Kikwete Pia Imeitaka Halmashauri ya Makete Kwa Kushirikiana na Uongozi wa Mkoa wa Njombe Kuwabana Watu Wanaonunua Zao la Pareto Kutoka Kwa Wakulima Bila Kufuata Taratibu Zinazohusika na Kukwepa Kulipa Kodi na Kuwakandamiza Wakulima wa Zao Hilo.
Akiongea Wakati wa Majumuisho ya Ziara Yake ya Kikazi ya Takribani Siku Sita Mkoani Njombe Kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Rais Kikwete Ameruhususu Sekta Binafsi Kununua Mahindi ya Wakulima Yaliyosalia Kwa Wakulima.
Halikadhali Rais Kikwete Amewataka Viongozi wa Mkoa wa Njombe Kuendelea Kusisitiza Mazao ya Biashara Ikiwemo Miti ya Mbao ,Kahawa ,Matunda na Mbogamboga Pamoja na Kufufua Zao la Pareto
Akielezea Kuhusu Miundombinu Mbalimbali Mkoani Njombe Rais Kikwete Amesema Serikali Iko Katika Mchakato wa Kuhakikisha Wananchi Wanapata Huduma za Umeme, Maji, Mawasiliano, Afya Pamoja na Ujenzi wa Barabara za Lami Zinazounganisha Makao Makuu ya Mkoa wa Njombe na Wilaya Zake Kupitia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa .
Rais Jakaya Kikwete Hii Leo Jumatano Amehitimisha Ziara Yake ya Kikazi ya Siku Sita Kwa Kufanya Majumuisho ya Sehemu Zote Alizotembelea Katika Wilaya za Mkoa wa Njombe Huku Akiwapongeza Wananchi Kwa Kushirikiana na Serikali Katika Shughuli za Maendeleo

NA MICHAEL NGILANGWA