POLISI WATULIZA VURUGU ZA CCM NA CHADEMA

Ispekta Generali wa Polisi (IGP), Said Mwema.

Na Bryceson Mathias, Mvomero
JESHI la Polisi wilayami Mvomero, limefanikiwa kutuliza vurugu za uchaguzi wa kuwapata wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya (Mamlaka za Serikali za Mitaa) na uendeshaji wake uliotangazwa na tume ya mabadiliko ya katiba.

Uchaguzi huo uliokuwa ufanyike jana Kichamgani Turiani, ulkwama kufanyika, baada ya kuibuka vurugu wananchi wakimkataa Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji hicho Bw. Damson Minja asiwe Mwenyekiti wa kikao kwa sababu ameshindwa kusoma mapato na matumizi tangu achaguliwe.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo