Msanii wa
muziki wa Bongo fleva Tunda man, ameachia wimbo mpya unaowahamasisha
watanzania na wadau kumpa nafasi ya Urais Jamal Malinzi, Tunda ambaye
yeye mwenyewe anajua kusakata kabumbu, ameacghuia wimbo huwo maalum na
kudai kwamba ni kwa maslahi ya soka la bongo. Producer wa wimbo huwo ni
Manecky toka AM Record.Bofya hapo chini kusikiliza.
MSANII WA BONGOFLEVA TUNDA MAN AMTUNGIA WIMBO MGOMBEA URAIS TFF JAMAL MALINZI
By
Edmo Online
at
Thursday, October 24, 2013
