JAMAA ANUSURIKA KIFO LEO JIJINI DAR KWA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI..!

Baadhi ya waendesha pikipiki Maarufu kama bodaboda wakiwa katika eneo la Bandarini ampapo ajali imetokea baada ya gari aina ya Toyota Land Cruiser kuigonga pikipiki.
 
Toyota Land Cruiser linalodaiwa kumgonga muendesha pikipiki aliyetambulika kwa jina moja la Huweso.
 
...Askari wa usalama wa barabarani akichukua maelezo katika eneo la tukio, alielala chini ni Huweso baada ya kupata ajali.
 
....Huweso akiwa amelazwa ndani ya gari tiyari kupelekwa Hospitalini.
CHANZO:GPL


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo