WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 03/04/2013.
|
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi , mvua
na ngurumo katika
maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dar es
Salaam,Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Rukwa ,Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Morogoro, Lindi
na Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na mvua
katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mkoa wa Ruvuma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:44
|
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:33
|
|
DODOMA
|
27°C
|
12:47
|
|
KIGOMA
|
28°C
|
01:11
|
|
MBEYA
|
23°C
|
12:56
|
|
MWANZA
|
25°C
|
12:58
|
|
TABORA
|
26°C
|
12:59
|
TANGA |
33°C
|
12:34
|
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
12:33
|
|
PEMBA
|
30°C
|
12:29
|
|
MOROGORO
|
27°C
|
12:35
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini
kwa Pwani ya
Kusini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
Kaskazini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo
madogo
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano:
03/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 03/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.