BREAKING NEWS: JAJI MSTAAFU MH.ERNEST MWIPOPO AMEFERIKI DUNIA

Marehemu Jaji Mwipopo(aliyesimama) enzi za uhai wake

JAJI MSTAAFU Mh. ERNEST MWIPOPO amefariki katka ajali mkoani Morogoro leo, mtoto mdogo wa marehemu Lukelo Mkani ameueleza mtandao huu kuwa ajali hiyo imetokea leo na taarifa zaidi zitatolewa
CHANZO:FG BLOG


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo