skip to main |
skip to sidebar
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA NA WAKINAMAMA WANAOTIBIWA CCBRT WALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA WAPENDANAO
Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania Bw. Geoffrey Wilfred, akiwagawia chakula baadhi ya
wanawake wanaotibiwa maradhi ya Fistula katika Hospitali ya CCBRT
jijini, Wafanyakazi wa kitengo cha masoko wa kampuni hiyo wamefanya
sherehe za maadhimisho ya uzinduzi wa Kampeni ya Moyo sanjari na
kusherehekea sikukuu ya wapendanao 'Valentine’s day' na wakina mama hao,
kupitia kampeni ya pamoja na Vodacom.
Elihuruma Ngowi,…

Elihuruma
Ngowi, akimpatia kinywaji baridi mmoja wa kinamama anaetibiwa maradhi
ya Fistula katika Hospitali ya CCBRT jijini, Wafanyakazi wa kitengo cha
masoko wa kampuni hiyo wametoa misaada na kusherehekea maadhimisho ya
uzinduzi wa Kampeni ya Moyo sanjari na kusherehekea sikukuu ya
wapendanao”Valentine’s day na wakina mama hao,kupitia kampeni ya pamoja
na Vodacom.
Frank Bomani ambae ni mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, akimpatia pipi
mmoja wa watoto waliopo na wazazi wao wanaotibiwa maradhi ya Fistula
katika Hospitali ya CCBRT jijini,mara wafanyakazi wa kitengo cha masoko
wa kampuni hiyo lipofika kutoa misaada mbalimbali na kusherehekea
maadhimisho ya uzinduzi wa Kampeni ya Moyo sanjari na kusherehekea
sikukuu ya wapendanao 'Valentine’s day' na wakina mama hao, kupitia
kampeni ya pamoja na Vodacom.
Meneja wa uhusiano wa nje wa Vodacom Tanzania Bw.Salum Mwalim,
akiwamiminia kinywaji baridi baadhi ya kinamama wanaotibiwa maradhi ya
Fistula katika Hospitali ya CCBRT jijini, Wafanyakazi wa kitengo cha
masoko wa kampuni hiyo wametoa misaada na kusherehekea maadhimisho ya
uzinduzi wa Kampeni ya Moyo sanjari na kusherehekea sikukuu ya
wapendanao 'Valentine’s day' na wakina mama hao, kupitia kampeni ya
pamoja na Vodacom.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospital ya CCBRT Bw.Erwin Telemans akiongea na waandishi
wa habari wakati wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,walipofika hospitalini
hapo kutoa misaada mbalimbali na kusherehekea maadhimisho ya uzinduzi
wa Kampeni ya Moyo sanjari na kusherehekea sikukuu ya wapendanao
'Valentine’s day' na wakinamama wanaotibiwa maradhi ya Fistula katika
Hospitali hiyo,kupitia kampeni ya pamoja na Vodacom.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania waliofika katika hospital ya CCBRT
kwa ajili ya kutoa misaada mbalimbali na kusherehekea maadhimisho ya
uzinduzi wa Kampeni ya Moyo sanjari na kusherehekea sikukuu ya
wapendanao 'Valentine’s day' na wakinamama wanaotibiwa maradhi ya
Fistula katika Hospitali hiyo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi