BABA MZAZI WA WAZIRI HAWA GHASIA AZIKWA, PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI

Waziri Mkuu na mkewe Tunu (katikati) wakimfariji Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Gahasia (kushoto) wakati walipohudhuria  mazishi ya baba mzazi wa Waziri huyo, marehemu Abdulrahman Ghasia katika kijiji cha Naumbu, Mtwara vijijini, Februari 14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa marehemu, Abdulrahman Ghasia, Baba Mzazi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa, Hawa Ghasia katika mazishi yaliyofanyika kijijini kwa marehemu, Naumbu, Mtwara Vijijini, Februari 14,2013. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la marehemu Abdulrahman Ghasia Baba Mzazi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serilai za Mitaa, Hawa Ghasia katika mazishi yaliyofanyika kijijini kwa marehemu, Naumbu, Mtwara Vijijini Februari 14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo