Picha zote na Dj-sek blog
Suma na Asha wakiwa hoi baada ya kufikishwa wodi namba 3 hospital ya
mkoa wa Morogoro,baada ya kiwanda cha kutengeneza nguo za Michezo cha
Mazava kilichopo Msamvu mkoani hapa kupata hitilafu ya umeme leo asubuhi
Mmoja wa majeruhi hao akiwa hoi wodi namba 3 hospitali ya mkoa wa Morogoro
Baadhi ya Ndugu na jamaa wa wafanyazi hao ambao baada ya kupata taarifa
hizo walifurika hospitali ya mkoa wa Morogoro na kuwashuhudia ndugu zao
kupitia madirishani kama walivyonaswa