skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWS: POLISI WAPAMBANA NA WAUMINI WA KIISLAM WALIOANDAMANA HII LEO
Polisi
jijini Dar Es Salaam imepambana na baadhi ya watu wanaodaiwa ni waumini
wa dini ya Kiislam walioamua kuandamana katika maeneo ya Kariakoo.
Licha ya kupigwa marufuku kwa maandamano hayo na jeshi la Polisi
wamedai kuwa lengo la maandamano hayo ni kushinikiza kupewa dhamana kwa
Sheikh Issa Ponda.
Zaidi tembelea mtandao huu
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi