Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na kiongozi wa kanisa la KKKT
nchini Dkt Alex Gehaz Malasusa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya
kati Dkt Alex Seif Mkumbo baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu
Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida jana Januari 6, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo (mwenye fimbo)
pamoja na viongozi wa kanisa hilo wakiongozwa na Askofu Mkuu Dkt Alex
Gehaz Malasusa (kulia kwa Rais), Msaidizi mpya wa Dayosisi hiyo
Mchungaji Syprian Yohana Hilinti (wa tatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa
Singida Dkt Kone na viongozi wengine katika sherehe ya Kusimikwa Wakfu
Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida jana Januari 6, 2013
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipeana mikono na kiongozi wa kanisa la KKKT nchini Dkt Alex
Gehaz Malasusa baada ya kupokea kamba kama ishara ya kupokea zawadi ya
ngombe toka kwa Dayosisi hiyo huku Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya
kati Dkt Alex Seif Mkumbo akishuhudia katika sherehe ya Kusimikwa
Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida jana Januari 6, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu
wa Kanisa la KKKT baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo
katika kanisa la KKKT la Singida jana Januari 6, 2013
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wasaidizi wa Maaskofu wa Kanisa
la KKKT baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika
kanisa la KKKT la Singida jana Januari 6, 2013 PICHA NA IKULU
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya mkoa wa Tabora toka kwa Mkuu wa
Mkoa Mhe Fatma Mwassa aliyosomewa mara baada ya kuwasili kuanza
ziara ya kikazi ya siku nne.