ASHA BARAKA ASITISHA KUTOA FILAMU YAKE, KISA STIKA YA TRA

 
MKURUGENZI wa bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka, amesitisha utoaji wa filamu  ya Watoto wa mama Ntilie, mpaka zitakapotoka stika za Shirika la Mapato Tanzania ‘TRA’ na kauli ya  Waziri wa Elimu  kuhusu  msaada wa kitabu hicho.
 
amesema kwa sasa amesitisha kazi zake zote hadi za muziki, hadi stika hizo ambazo zitasiamia kazi za wasanii zitakapotoka hapo mwakani.
Alisema pia yupo kwenye mazungumza na wizara ya Elimu juu ya kusaidia kidogo kuweza kukusambaza filamu hiyo inayotokana na kitabu cha kidato cha tatu na nne.
 
“Nikitabu ambacho nahitaji kusambaza katika shule za sekondari, ili watoto wajifunze kwa kuangalia” alisema.
 
Kitabu hicho anatarajia kukisambaza bule katika mashule ya sekondari, na vingine kuviuza kwa bei nafuu kwa watu ambao watakihitaji.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo