![]() |
| Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) Kikionesha umahiri wake ndani ya Uwanja wa amani wakijiandaa na sherehe za maapinduzi Jumamosi Januri 12, 2013. |
![]() |
| Kmanda wa Brigedi ya nyuki Brigedia General Sharif Sheikh akitoa tathmini ya matayarisho ya gwaride la Vikosi vya ulinzi litakalofanyika hapo kesho kwenye uwanja wa amani Mjini Zanzibar. |



