Wabunge
nchini Kenya wamejizawadia dola 107,000 kama marupurupu katika mojawpao
ya vikao vyao vya mwisho vya bunge hilo kabla ya uchaguzi mkuu kufayika
mwezi Machi.
Kila mbunge ataweza kupata mlinzi wa maisha, pasi
ya kidiplomasia na kupata huduma za juu zaidi katika viwanja vye ndege
kote duniani. Haya ndiyo mapendekezo yaliyo katika mswaada waliopiitisha
ukisubiri kuidhinishwa na rais Mwai Kibaki