BADO RPC IRINGA ANAZIDI KUANDAMWA

Mbunge wa Iringa mjini-Chadema akihutubia umati wa wakazi wa Iringa mjini,waliofika kumsikiliza jioni ya leo katika viwanja vya soko kuu Iringa.

                                                            Sehemu ya umati
                                 Baadhi ya mabango yenye jumbe mbalimbali

Mbunge wa Iringa,mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA, jioni ya leo amehutubia umati mkubwa wa wakazi wa Iringa.

Katika hotuba yake, Msigwa amesema kuwa, hayati Daud Mwangosi ni shujaa ambae atakumbukwa daima.
 
Tutawaleteeni habari zaidi.Chanzo;Mjengwa Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo