YANGA YAZAWADIWA 'KILO' 3 ZA SUKARI NA MTIBWA

Dakika ya 76 husseib javu aliipati mtibwa bao la tatu na kuitimisha kalamu ya mabao. Mpaka mapumziko mtibwa imetoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 2-0.

Bao la kwanza limvefungwa na dickson daudi kwa kichwa akimalizia mpira wa kona iliyochongwa malika ndeule. 


Dakika ya 43 hussein javu aliipatia mtibwa bao ya pili baada ya kufantika shambulio la nguvu. Mtibwa_ Shaban kao, Malika ndaule,issa rashid, dickson daudi, salvatory ntebe, shaban nditi, jamal mnyate awadh juma, hussein javu, shaban kisiga na vicent. Yabga ally mustaphar, juma abdul, mbuyu twite, kelvin yondani, nadr haroub, athuman idd chuji, frank dumayo/ stephano mwadika, said bahanuzi, hamis kiiza na david lwende/ simon msuva.

Dakika ya 87 hamis kiiza alikosa penalti baada ya kupaisha mpira juu ya goli, baada ya mwamuzi kamuru penalti mchezaji wa mtibwa malika ndeule kuunawa mpira

akiwa katika eneo la hatari. Hata hivyo mpira ulikuwa mkali kwa yanga kukosa nafasi kadhaa katika  kama dakika ya 15 dakika ya 25 na dakika ya 42 kupitia

kwa wachezaji wake haruna niyonzima na hamis kiiza, hata mtibwa ilikosa mabao dakika ya 6, 16 na 56 kupitia kwa wachezaji wake huusein javu na vicent barnabas. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo