skip to main |
skip to sidebar
Waziri Ummy Mwalimu leo yuko Peramiho Songea jionee hapa
Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho
Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr. Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo asubuhi ya leo.
Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), wakiwa sehemu ya mapokezi, tayari kwa kupata huduma.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi