skip to main |
skip to sidebar
ASKARI NA DEREVA ANAYEDAIWA KULEWA POMBE WAKUNJANA MOROGORO
Askari wa jeshi la polisi akimnasua dereva wa daladala aliye
ng'ang'ania katika mshikio wa kioo cha kuangalia nyuma cha dereva katika
eneo la kutokea magari ya stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya
Manispaa ya Morogoro baada ya dereva huyu kudaiwa kunywa pombe huku
akitaka kuendesha gari la abiria Mjini-Kihonda jambo ambalo askari
huyu baada ya kupata taarifa alipingana asiendeshe na kuchukua jukumu la
kumpeleka kituo kikuu cha mkoa wa Morogoro.
Hapa akisaidiwa na askari wa ulasama barabarani.

Mambo naye aliongeza nguvu wakati wakimpeleka kituo kikuu cha polisi dereva huyo.
PICHA:JUMA MTANDA BLOG
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi