Yule Diwani aliyepotea kwa Miezi mitatu na kupatikana kwenye nyumba ya mwanamke aliyejulikana kwa jina la Ashura Ally Matitu, mkazi wa Tabata darajani, Diwani Rwakatare wa kata ya Kawe mkoani Dar Es Salaam amepotea tena kwa Mujibu wa Gazeti la Tanganyika.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa ndugu wamekiri kumtafuta Kwa Ashura Tabata, hayupo.
.jpg)
