Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za MItaa (TAMISEMI), Mhe. Angellah Kairuki ameripoti na kupokelewa na Viongozi mbalimbali katika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo iliyopo Magogoni Jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 3,2022.
Muda Mchache baada ya Kuapishwa, Waziri Kairuki aanza Kazi
By
Edmo Online
at
Monday, October 03, 2022