Hospitali ya Taifa ya Afya Akili Mirembe imekiri kuzidiwa na idadi ya wagonjwa ikilinganishwa na watoa huduma waliopo kwani imekuwa ikipokea wastani wa wagonjwa 70 wa Nje (OPD) kwa siku wa afya ya akili huku ikiwa na madaktari bingwa 4 wa huduma hiyo.