Picha: Waziri Ummy akabidhiwa Tuzo ya heshima



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekabidhiwa tuzo ya heshima na klabu ya Coastal Union ya Tanga. Waziri Ummy amekabidhiwa tuzo hiyo kwa kutambua mchango wake uliyosaidia timu hiyo kupanda Ligi kuu Tanzania bara (VPL).


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo