Mbunge Lema aichambua kazi ya Bunge

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) amesema kazi ya Bunge ni kuisimamia serikali.

Lema, leo Mei 12 amedai kuwa Tanzania kazi ya Bunge ni kusimamiwa na serikali huku akiwata wananchi kuelewa hivyo.
“Kazi ya Bunge ni kuisimamia Serikali,Tanzania kazi ya Bunge ni kusimamiwa na Serikali,hivi ndivyo wananchi wanapaswa kuelewa,Bunge ambalo haliwezi kusimamia haki ya Mbunge aliyepigwa risasi kupata haki yake,bunge hilo halitaweza kujua shida zenu za maji hata kama mnakufa na kiu,” ameandika Lema kupitia mtandao wake wa Kijamii.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo